Plot4Sale Viwanja vinauzwa bei chee kuanzia laki nne

Plot4Sale Viwanja vinauzwa bei chee kuanzia laki nne

Mkuu wewe ni dalali ama mmiliki?
Viwanja hvyo vina hati?
 
Kibamba 20sqm iwe laki 4!!!! Mnunuzi ajiandaye na kubomolewa miaka kadhaa mbele au kesi ya kuuziwa kiwanja cha mtu mwingine. Kwasasa kiwanja cha laki 4 kwa sqm 20 labda vijijini ila kwa DSM labda uuziwe sehemu ya bahari ya hindi.
Buy at your own risk
 
Same idea.
Hata mimi nna mashaka aisee
 
square mita 20 duh kwa kwa ratio gani urefu kwa mapana ? au mita 10 kwa 2 tujenge corridor tu
 
Kibamba 20sqm iwe laki 4!!!! Mnunuzi ajiandaye na kubomolewa miaka kadhaa mbele au kesi ya kuuziwa kiwanja cha mtu mwingine. Kwasasa kiwanja cha laki 4 kwa sqm 20 labda vijijini ila kwa DSM labda uuziwe sehemu ya bahari ya hindi.
Buy at your own risk
Hakuna kiwanja cha sqm 20 duniani....rekebisha hapo!
 
waziri ameishasema watu wasinunue viwanja ambavyo havijapimwa hapa dar . so muuzaji jaribu kujiongeza
 
Hivyo viwanja vya laki nne n vile vya mitamba kama vya mitamba kule kidimu muogopeni Mungu jamani yale maeneo n ya serikali na yame pimwa na kuna mawe kbs lkn watu wana pigwa sana nasikia huko wana kuja kushtuka tyr washa pigwa.. Mm mwenyeji kiasi wa kibamba mtoa mada naomba uni elekeze n kibamba ipi hiyo nami nijee ninunue kwa laki nne teheee teeeh
 
Tunauza viwanja bei chee vipo kibaha,kibamba,bunju bagamoyo,chanika mawasiliano 0677686141 bei kuanzia laki tatu
 
Mkuu Bunju na Chanika Being gani?
30 kwa 40 Tsh ngapi?
Ni Shamba unakata?
Sasa hivi Nimeanzisha Utaratibu Nikihitaji Eneo kama hill unalosema Naenda Halmashauri Namlipa Mpimaji Nakuja Nae Apime Na acheni Usalama wa Eneo kama Galina MTU Au Mipango miji! Kabla Ya Kukulipa Mkuu!
 
Namim nauza kiwanja changu mbez msumi jirani na shule ya secondary mbopo umeme upo na maji..ukubwa 20*23 metres ...6 million only
 
Vipo kibamba kibaha,mbagara chanika kuanzia laki tatu hatua za miguu 20x20 nauzia shida mawasiliano 0677686141
 
Back
Top Bottom