Plot4Sale Viwanja vinauzwa bei chee kuanzia laki nne

Plot4Sale Viwanja vinauzwa bei chee kuanzia laki nne

Aiseeeeh.
Ngoja waje wanatoka ofisini, wapo kwenye foleni.
 
Ila kusema ukweli thamani ya Ardhi imeshuka sana awamu hii ya tano.
 
Vipo kibamba kibaha,mbagara chanika kuanzia laki tatu hatua za miguu 20x20 nauzia shida mawasiliano 0677686141
Achana Biashara ya Miguu ambayo hatujui Mpimaji ni mrefu vipi,
Nunua Tape measure ya buku 3 tu upime upya ili ukituambia Mita basi mnunuzi atajua ukubwa wa Kiwanja ukoje
 
Back
Top Bottom