Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chamazi

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chamazi

gozy busness

Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
9
Reaction score
9
🌳 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE
_________________________________

#Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) .

🌳 Mladi wenye uduma zote muhimu na rafik kwa jamii .

WASILIANA NA WAUSIKA KWA NAMBA ZIFUATAZO
0689357572} Whatsapp
0768041126} whatsapp

🌳 SIFA ZA MLADI
_________&______
✅ Viwanja vimepimwa kisasa
✅ Vipo sehemu tambarale na ilio nyooka
✅ Bei zetu ni rafiki kwa kila mtu na kwa kila ngazi ya uchumi (uchumi mdogo uchumi wa kati na uchumi wa juu).
✅ Hati zipo
✅ Bei kuanzia 1,000,000/=
✅ Ukubwa futi (50×30),(50×40) unaweza kuunganisha viwanja viwili na zaidi

🌳 TERMS OF PAYMENT
  • CASH 💸
  • INSTALLMENT ( KULIPA KIDOGO KIDOGO).

SITE VISITING_ NI KILA SIKU ZA WIKI

🌳 CHAMAZI MBANDE REAL-ESTATE TUNAWAKARIBISHA WOTE WENYE UITAJI WA VIWANJA VIZURI VIRIVYO NYOOKA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA

🌳N:B WEKEZA ASSETS KWA MANUFAA YAKO NA KWA MAENDELEO YAKO YA BADAE.

______
1685339775293.jpg
END_________
 

Attachments

  • 1685381211652.jpg
    1685381211652.jpg
    78.3 KB · Views: 17
Watu hawataki kukaa na waswahili yaani kutwa nzima kelele za sabufaaaa🏃🏃🏃
 
Ukiona viwanja vinauzwa kwa futi na bei yake hyo ya milio milio...kimbia mbio sana,maana hayo ni maeneo ya Tandale mpya,buguruni mnyamani mpya au keko mpya....unless unapenda kuishi maisha ya hvyo.
 
🏕 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE
_________________________________

💥Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) .

SIFA ZA VIWANJA VYA CHAMAZI MB
🔍 Viwanja vipo tambalale
🔍 Viwanja vimepimwa
🔍 Unaweza kulipia kidogo kidogo adi unamaliza
🔍 Viwanja vina Hati miliki
🔍 Viwanja vinatambulika na serikali
🔍 Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya mji ( kila kiwanja kina barabara ya mtaa)

Ukifika MBANDE MAGENGENI Tupigie simu ofisi zetu zipo wazi (*0768 041 126 *0689 357 572) .

Usafiri upo bajaji 🛺 500 Boda 🏍1000 kutoka mbande magengeni adi site.

Kumbuka Viwanja havina udalali piga simu 0768041126/0689357572 uje mwenyewe uchague kiwanja unachokipenda ulipie.

* BEI ZA VIWANJA *
📍💥 800,000/ FT 50×30
📍💥 1,300,000/ FT 50×40 sqm 200
📍💥 2,600,000/ FT 80×50 sqm 400
📍💥 5,200,000/ FT 100×80 sqm 800

*TERMS OF PAYMENT
CASH 💸 ✅
INSTALLMENT ✅

Unaruhusiwa kununua ata mtaa mzima pia unaweza kununua ata ukiwa nje ya Nchi na ukatumiwa hati yako .

* MAWASILIANO*
0768 041 126} whatsapp
0689 357 572} Whatsapp

Siku za kwenda site ni siku zote za wiki

NB: WEKEZA KWENYE ARDHI KWA MANUFAA YAKO YA BADAE.
20230725_143557.jpg
 
Ukishaambiwa Chamazi akili yako lazima ifanye kazi haraka sana,vingine utakuja kutulilia hapa...

Wanadanganya sio chamazi.. kwa maelezo yake hapo hivyo viwanja viko wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.

Muuzaji Ametumia ujanja kusema mbande chamazi ili vionekane vipo Dar es salaam. Maana vilipo sio mbali ukitokea mbande ama chamazi
 
Back
Top Bottom