Mama Namnyak
Member
- Aug 24, 2017
- 14
- 5
Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali nipigie kwa number hii hapa. +25578661133+255759221662/+255767510223
pole kumbe kibaha sio Dar es salaam?Viwanja vinauzwa dsm,ukisoma kwa ndani kumbe ni kibaha
Tafadhali naomba tuwasiliane kwenye no zangu. Bei maelewano cha chanika ndio wanapima kwa sasa na Kibaha ndio wako kwenye mchakato wa kuvipima.Asante kwa tangazo.
Tuwekee bei na details kama vimepimwa au la
Beii cha kibaha nauza 15Million na cha Chanika nauza 12Million. ila bei maelewano tunaweza kupunguziana.Asante kwa tangazo.
Tuwekee bei na details kama vimepimwa au la
pole kumbe kibaha sio Dar es salaam?[/QUOTπππππππππ
Kama hujui kaa kimya, Kibaha ipo mkoa wa Pwani.pole kumbe kibaha sio Dar es salaam?
kaka kabla hujatangaza bei hebu pita kwenye matangazo mengine uangalie bei pia nagalia demand side then angalia upatikanaji wa hela piaBeii cha kibaha nauza 15Million na cha Chanika nauza 12Million. ila bei maelewano tunaweza kupunguziana.
kibaha ni mkoa wa pwanipole kumbe kibaha sio Dar es salaam?
asante nimelijua hiloKama hujui kaa kimya, Kibaha ipo mkoa wa Pwani.
ndio maana nimesema bei ni Negotiable. that is just asking pricekaka kabla hujatangaza bei hebu pita kwenye matangazo mengine uangalie bei pia nagalia demand side then angalia upatikanaji wa hela pia
Asante kwa kuniambia nilikua silijui hilo.. niko mkoanikibaha ni mkoa wa pwani
Hata Chanika nayo ni sawa na pwani tuKama hujui kaa kimya, Kibaha ipo mkoa wa Pwani.
Duhhh [emoji23] [emoji23] [emoji23]kaka kabla hujatangaza bei hebu pita kwenye matangazo mengine uangalie bei pia nagalia demand side then angalia upatikanaji wa hela pia