Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

Mama Namnyak

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
14
Reaction score
5
Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali nipigie kwa number hii hapa. +25578661133+255759221662/+255767510223
 
Viwanja vinauzwa dsm,ukisoma kwa ndani kumbe ni kibaha
 
Asante kwa tangazo.

Tuwekee bei na details kama vimepimwa au la
Tafadhali naomba tuwasiliane kwenye no zangu. Bei maelewano cha chanika ndio wanapima kwa sasa na Kibaha ndio wako kwenye mchakato wa kuvipima.
 
Beii cha kibaha nauza 15Million na cha Chanika nauza 12Million. ila bei maelewano tunaweza kupunguziana.
kaka kabla hujatangaza bei hebu pita kwenye matangazo mengine uangalie bei pia nagalia demand side then angalia upatikanaji wa hela pia
 
ndio maana nimesema bei ni Negotiable. that is just asking price
 
kaka kabla hujatangaza bei hebu pita kwenye matangazo mengine uangalie bei pia nagalia demand side then angalia upatikanaji wa hela pia
Duhhh [emoji23] [emoji23] [emoji23]

yaani unamwita kaka wakati jina tu ni "mama"
 
Back
Top Bottom