Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Maili Moja (1)

Prof Nasibu

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
27
Reaction score
8
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA MAILI MOJA - PANGANI (PLOT NO. 71,73,75)

Eneo lina huduma zote za Jamii.. Hospital, Shule, n.k na ni kilomita 3 kutoka barabara ya Morogoro road mpaka kiwanjani..

Ukubwa wa Viwanja: 2432, 2731, na 2424 SQM
_____________________
Bei: Tsh 15,000 @ SQM

Kwa Mawasiliano zaidi : +255 652 251374
IMG_20221108_161826.jpg
20190206_113912.jpg
20190206_114601.jpg
20190206_114231.jpg
 
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA MAILI MOJA - PANGANI (PLOT NO. 71,73,75)

Eneo lina Huduma zote za Jamii.. Hospital, Shule, n.k na ni kilomita 3 kutoka barabara ya Morogoro road mpaka kiwanjani..

Ukubwa wa Viwanja: 2432, 2731, na 2424 SQM
_____________________
Bei: Tsh 15,000 @ SQM

Kwa Mawasiliano zaidi : +255 652 251374View attachment 2412511View attachment 2412512View attachment 2412513View attachment 2412514
Km 3 kutoka morogoro Rd kuna umbali, kama ni makazi ya kuishi lazima uwe na gari ortherwise boda boda sio chini ya 4k kwa siku
 
Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...

Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
 
Kuna watu watalia muda si mrefu.
Hakuna Mtu atakayetapeliwa... Viwanja ni vyetu wenyewe hakuna udalali wala Utapeli wa Aina yeyote...

Unawezq fika kiwanjani ukangalia kama umevipenda basi Hati miliki za viwanja zipo (Hati)...
 
Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...

Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Viwanja vya tasisi mnavyo?
 
Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...

Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Ni 2000 tu hapo napajua uzuri sana kama unaelekea machinjio ya mkoa
 
Chamsingi kisiwe karibu na msikiti..baa..au kanisa la walokole.

Vipi kuhusu maji na umeme.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...

Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Cha bei ndogo zaidi ambacho ni 20x20sqm ni 36milion??

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom