Prof Nasibu
Member
- Aug 12, 2022
- 27
- 8
- Thread starter
- #21
Hivyo viwanja ni vikubwa si vidogo.. na Bei ipo sahihi... √Sawa so bei iko sahihi si ndio?
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo viwanja ni vikubwa si vidogo.. na Bei ipo sahihi... √Sawa so bei iko sahihi si ndio?
#MaendeleoHayanaChama
Sio kweli 3km kwa boda haizidi 2000Km 3 kutoka morogoro Rd kuna umbali, kama ni makazi ya kuishi lazima uwe na gari ortherwise boda boda sio chini ya 4k kwa siku
Maji , umeme , vyote vimefika pia.Chamsingi kisiwe karibu na msikiti..baa..au kanisa la walokole.
Vipi kuhusu maji na umeme.?
#MaendeleoHayanaChama
Hiko ni kwa kiwanja kikubwa na sio kidgo... 2424 SQM15,000×2,424=36,360,000
#MaendeleoHayanaChama
Unaweza Negotiate pia...Bei kipengele