Prof Nasibu
Member
- Aug 12, 2022
- 27
- 8
Km 3 kutoka morogoro Rd kuna umbali, kama ni makazi ya kuishi lazima uwe na gari ortherwise boda boda sio chini ya 4k kwa sikuVIWANJA VINAUZWA KIBAHA MAILI MOJA - PANGANI (PLOT NO. 71,73,75)
Eneo lina Huduma zote za Jamii.. Hospital, Shule, n.k na ni kilomita 3 kutoka barabara ya Morogoro road mpaka kiwanjani..
Ukubwa wa Viwanja: 2432, 2731, na 2424 SQM
_____________________
Bei: Tsh 15,000 @ SQM
Kwa Mawasiliano zaidi : +255 652 251374View attachment 2412511View attachment 2412512View attachment 2412513View attachment 2412514
Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...Km 3 kutoka morogoro Rd kuna umbali, kama ni makazi ya kuishi lazima uwe na gari ortherwise boda boda sio chini ya 4k kwa siku
Hakuna Mtu atakayetapeliwa... Viwanja ni vyetu wenyewe hakuna udalali wala Utapeli wa Aina yeyote...Kuna watu watalia muda si mrefu.
Viwanja vya tasisi mnavyo?Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...
Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Kwa Maana ya Kampuni...?Viwanja vya tasisi mnavyo?
Wala kuna bajaj na pikipiki piaKm 3 kutoka morogoro Rd kuna umbali, kama ni makazi ya kuishi lazima uwe na gari ortherwise boda boda sio chini ya 4k kwa siku
Ni 2000 tu hapo napajua uzuri sana kama unaelekea machinjio ya mkoaSi mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...
Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Kama utapenda unapanda tu... Maana Rami imeshafika tyrWala kuna bajaj na pikipiki pia
Shukran kama ni hvyo, si mbaya pia...Ni 2000 tu hapo napajua uzuri sana kama unaelekea machinjio ya mkoa
Cha bei ndogo zaidi ambacho ni 20x20sqm ni 36milion??Si mbali kama unavyofikiria... Kwa Usafiri wa Motorcycle (pikipiki_Boda boda) ni 1000 tu... Ukianzia pale Stendi ya Loliondo...
Ila kma utanzia Kule morogoro? Road basi ndio hvyo inafika kati ya 1500 mpka 2000
Huduma za Kijamii zote ziko karibu na viwanja...Chamsingi kisiwe karibu na msikiti..baa..au kanisa la walokole.
Vipi kuhusu maji na umeme.?
#MaendeleoHayanaChama
Angalia vzr Mahesabu yako ndugu yangu...Cha bei ndogo zaidi ambacho ni 20x20sqm ni 36milion??
#MaendeleoHayanaChama
15,000×2,424=36,360,000Angalia vzr Mahesabu yako ndugu yangu...
Nadhani wewe ndio ucheki vyema mahesabu yako.Angalia vzr Mahesabu yako ndugu yangu...
Uko sahihi ila viwanja hivi sio 20x20... Vimezidi zaidi ya 50x50.15,000×2,424=36,360,000
#MaendeleoHayanaChama
Upo sahihi labda hatujaelewana tu... Kwenye ukubwa wa Vipimo vya viwanjaNadhani wewe ndio ucheki vyema mahesabu yako.
#MaendeleoHayanaChama
Sawa so bei iko sahihi si ndio?Upo sahihi labda hatujaelewana tu... Kwenye ukubwa wa Vipimo vya viwanja