Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za wakati huu,
Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu:
Uzi huu ni endelevu.
Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu:
- Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo MBUTU,GEZAULOLE,DEGE,CHEKA,MWONGOZO,KIMBIJI,PEMBA MNAZI etc Bei ni kama ifuatavyo:
- Mbutu,Kuanzia TZS Mili 3.5 ukubwa kuanzia mita 17kwa 20 na kuendelea
- Gezaulole Kuanzia TZS Mili 8 Ukubwa kuanzia Mita 20 kwa 20 na kuendelea
- Dege Kuanzia Mil 6 Ukubwa mita 17 kwa 20
- Cheka,Kimbiji,Pemba Mnazi kuanzia TZS Milion 4 ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20
- Nyumba Mbili kwenye eneo la ukubwa wa MITA 40 kwa 30 zenye wapangaji kwa gharama ya TZS Milioni 75 ipo Gezaulole Jirani na Excel Schools
- Nyumba Moja ndani ya eneo la ukubwa mita 10 kwa 13 ipo jirani na shule ya Excel kwa Gharama ya TZS Milioni 9.5
- Unaweza Pia kuweka oda kwa kuzingatia Bei yako,ukubwa unaotaka pamoja na eneo ili tukutafutie kwa gharama nafuu kabisa
Uzi huu ni endelevu.