the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Ingekuwa sahihi zaidi kama ungeweka mawasilianomkuu unapatikana vipi? au tunaweza kuwasiliana vipi hasa kwa simu au ana kwa ana
mkuu unapatikana vipi? au tunaweza kuwasiliana vipi hasa kwa simu au ana kwa ana
Ingekuwa sahihi zaidi kama ungeweka mawasiliano
Kwanini usiweke namba yako kwenye tangazo mkuu?Nmekutumia numb ndugu yangu
Kwanini usiweke namba yako kwenye tangazo mkuu?
.mkuu naomba contacts zako tuweze kufanya mawasiliano, nipo interestedViwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati
mita 35*35
Bei Mil 5.5
Heka (mita 105) kwa milion 15 badala ya milion 16 na laki 5
Karibu sana ndugu zangu
View attachment 1740237
View attachment 1740240
View attachment 1740242
View attachment 1740243
mkuu vimeshapimwa? na km ngapi kutoka ferry? ni hayo tu
Hata namba ya simu tukukumbushe?
kilometer ngapi kutoka ferry?
your are not serious, wewe ni dalali?Maxmum km 10
NtumieKaka ukihitaj numb ya simu naeza nikakupatia hilo sio tatizo
your are not serious, wewe ni dalali?
Ntumie