Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati

mita 35*35
Bei Mil 5.5

Heka (mita 105) kwa milion 15 badala ya milion 16 na laki 5

Karibu sana ndugu zangu

IMG_4796.jpg

IMG_4795.jpg

IMG_4794.jpg

IMG_4790.jpg
 
mkuu unapatikana vipi? au tunaweza kuwasiliana vipi hasa kwa simu au ana kwa ana
 
Viwanja vipo kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya kigamboni,
Mita 35*35 vipo 4
Bei ni mil 5.5
Pia ukihitaji heka inapatikana hapo hapo
Karibuni sana
Kwa mawasiliano 0620149421
IMG_4790.jpg

IMG_4794.jpg

IMG_4795.jpg

IMG_4796.jpg
 
your are not serious, wewe ni dalali?

Sasa hapo unachodauti ni kitu gn alaf hii ID sio ngeni kwangu ww unaparticle za kanjanja huna nia tulishawasiliana lkn fix nying kwahy mkuu kaa kwa kutulia km hauna nia na kiwanja acha mafix ya kitoto na kunichosha
 
Back
Top Bottom