the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Excellent news to hear
Safi, panafaa kwa kilimo.
Haswaa kule watu wengin wanalima mpk mpunga mkuu tena kwahy ukiona mpk mtu analima mpunga bhas jua maji si yakuwazia
Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi?
Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.