Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya.

vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)

ukichukua vyote vinne utapata punguzo

kutoka main road mpk kwenye kiwanja ni km 2

umeme umefika na viwanja vimepimwa vipo katika michakato ya hati


Mawasiliano 0620149421

IMG_4799.jpg
 
Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.
 
Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi?

Nafkr hujaelewa namaanisha kule kuna baadh ya maeneo wanalima mpunga kwahy haimanishi ni pale kweny kiwanja elewa hilo
 
Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.

Mbon unaongea km umefika!?jf kila mtu ni mjuaji kwann!??punguza kiherehere mkuu au huon picha apo juu!!?
 
IMG_4796.jpg

Utakuta bado mtu anasema hapo hapafai kwa ujenzi
 
Nauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m@ kwa aliye serious ani PM
 
Back
Top Bottom