Yah cheap bado kule mkuu,,Ekari 3.5 kwa million 12?
Mita 100 kutoka bahariBeach kabisa ama karibia na Beach?
Piga simu mkuu utashushiwa bei mpaka ushangae kama ukichukua heka za kutosha.
40 kmKm ngapi kutoka ferry?
Kufika huko kisiju ni lazima upite mkuranga ceter?Kwa ufupi.
Eneo la ekari 3.5 beach area
Lipo mkoa wa pwani Kisiju
Karibia na bandari ya Kisiju
Kituo ni Sotele
Km 87 kutoka City Center DSM
Bei ni milioni 12. (Negotiable)
+255746 474849
Update**
Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya mkuranga, Pwani. zinaanzia baharini kuingia ndani kijijini. Bei ni milioni 15 kwa kila heka 5.
Kwa maelezo zaidi.
+255712347749
0746474849
View attachment 2466976
Kufika huko kisiju ni lazima upite mkuranga ceter?Kwa ufupi.
Eneo la ekari 3.5 beach area
Lipo mkoa wa pwani Kisiju
Karibia na bandari ya Kisiju
Kituo ni Sotele
Km 87 kutoka City Center DSM
Bei ni milioni 12. (Negotiable)
+255746 474849
Update**
Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya mkuranga, Pwani. zinaanzia baharini kuingia ndani kijijini. Bei ni milioni 15 kwa kila heka 5.
Kwa maelezo zaidi.
+255712347749
0746474849
View attachment 2466976
Unapita center ampaka sotele unaingia kushoto unaenda mbele huko KM kadhaa rami imeishia, baada ya hapo barabara ya changalawe mapaka pwani ya bahari.Kufika huko kisiju ni lazima upite mkuranga ceter?
Na je mpaka huko hali ya barabara ikoje(ni lami)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimepimwa?Na Mimi nauza kiwanja changu kina msingi TU,
Kipo KUNDUCHI ,Milioni 30
Bei inapungua.ukubwa ni Mita 20 Kwa 20
Bado ,Kimepimwa?