peterlvitalis92
Member
- Jul 15, 2015
- 53
- 11
Naomba picha mkuuNinacho changu maeneonya Wazo tegeta sqm 1,223 bei 30m kwa atakayehitaji.
Kina hati?Ninacho changu maeneonya Wazo tegeta sqm 1,223 bei 30m kwa atakayehitaji.
Kina hati?
Hicho hapoNaomba picha mkuu
Mawasiliano yako mkuuKina hati ndio
Umbali gani toka barabara kuu..au ya lami...naomba maelezo zaidi mkuu
Mawasiliano yako mkuu
Ninacho changu maeneonya Wazo tegeta sqm 1,223 bei 30m kwa atakayehitaji.
Mbali sana ukilinganisha na beiKutoka taa za Tegeta kibaoni kama 6km
Mbali sana ukilinganisha na bei