Habari
Viwanja vinauzwa Morogoro njia kuu
ya kuelekea Dodoma, baada ya mita 100
kutoka mizani. Unaingia upende wa kulia
kama mita 600.
~ Viwanja vimepimwa na ukinunua utakuwa mmliki wa kwanza na kupewa offer yako
~Maji na umeme havipo mbali sana kama mita 500
~makazi yameshaanza
~Bei ni sh 7,500/= kwa SQM.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika
no 0758 525 512
Mkuu kwa Dar hiyo bei ulitaja bado ni ya chini sana. Dar inafika mpaka 15,000 Hata zaidi Kwa sqm. Morogoro ni mji unaokua kwa sasahivi pia inategemeana kiwanja chenyewe kipo wapi. Bado bei ni maelewano ya watu wawili mkiwasiliana.