Viwanja vinauzwa Morogoro

Viwanja vinauzwa Morogoro

Ndandidzi

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
87
Reaction score
18
Habari
Viwanja vinauzwa Morogoro njia kuu
ya kuelekea Dodoma, baada ya mita 100
kutoka mizani. Unaingia upende wa kulia
kama mita 600.
~ Viwanja vimepimwa na ukinunua utakuwa mmliki wa kwanza na kupewa offer yako
~Maji na umeme havipo mbali sana kama mita 500
~makazi yameshaanza
~Bei ni sh 6,000/= kwa SQM.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika
no 0788 040 304 au 0758 525 512
 
Attachments

  • 20140109_102058.jpg
    20140109_102058.jpg
    463.7 KB · Views: 1,079
Habari
Viwanja vinauzwa Morogoro njia kuu
ya kuelekea Dodoma, baada ya mita 100
kutoka mizani. Unaingia upende wa kulia
kama mita 600.
~ Viwanja vimepimwa na ukinunua utakuwa mmliki wa kwanza na kupewa offer yako
~Maji na umeme havipo mbali sana kama mita 500
~makazi yameshaanza
~Bei ni sh 7,500/= kwa SQM.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika
no 0758 525 512

Dar es Dalaam, mji wa kibiashara Tanzania wanauza viwanjakwa Sh. 8,000.00 kwa sqM moja. Morogoro, kilometa 200 toka Dsm kiwanja 7,500.00? Wananchi wa kawaida watamiliki ardhi kweli?
 
Mkuu kwa Dar hiyo bei ulitaja bado ni ya chini sana. Dar inafika mpaka 15,000 Hata zaidi Kwa sqm. Morogoro ni mji unaokua kwa sasahivi pia inategemeana kiwanja chenyewe kipo wapi. Bado bei ni maelewano ya watu wawili mkiwasiliana.
 
Hivyo viwanja vya kujenga kota au makaz ya kawaida mkuu?
 
Ulitaka wause kwa sh ngapi ,, thamani inapandishwa na soko kaka,,, mbona unaniangusha Newyork dola ngapi,,, unataka kusema na marekani masikini wanaweza nunu land thubutu
 
ndandidzi, Ni saidieni kwa hesabu rahisi,kiwanja cha kama hatua 20 kwa 20 itakuwa bei gani? Hizo hesabu za sqm wengine zinatupiga chenga
 
Msingida, Kama hizo 20 kwa 20 ni mita basi kwa bei iliopo hapo itakuwa 20 X 20 X 7,500 = 3,000,000. Asante
 
Jerry bei ya mwisho kabisa ni 4.5M kwa kila kimoja kwa hivyo viwili itakuwa 9.0M. Wastani wa Tsh 6000 kwa sqm. Karibu
 
Back
Top Bottom