Viwanja vinauzwa Mwanza

Viwanja vinauzwa Mwanza

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
479
Reaction score
727
Habari za majukumu wanazengo

Mada inajieleza, viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Nyegezi-Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama Samanene, Avash, jembe ni jembe, wag hill)

Viwanja vinafaa kwa makazi, hostel, beach etc
Barabara, umeme na huduma za kijamii zinafikika bila shida yoyote.

Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil.

Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32.

Vyote havina mgogoro wowote na viwanja viko karibu na ziwa mita 120 kutoka ziwani upepo ni mwanana 24hrs
Karibu tuwasiliane 0767911491 mimi nasimama kama dalali pia nipo tayari kumuunganisha kwa mwenye eneo kwa atayekuwa interested.
Karibuni

Ntaatach picha

Attachments​

  • 20240114_165008.jpg
  • 20240114_165008.jpg
  • 20240114_164939.jpg
 
Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama samanene,avash,jembe ni jembe,wag hill)
kwani serikali oimeshahamisha bahari kwenda mwanza mbna wamehamisha kimya kimya bila kunishirikisha...? au sina maana nchini mwangu
 
Ni sehemu salama kbs,distance na levelling ya maji probability ya kufikia viwanja vilipo ni 0.69%
Karibu ucheki
ok thank you so much nimependa umeelezea kwa usahihi nikipata pesa nitakutafuta mkuu next tine 🙏
 
Back
Top Bottom