Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Nauliza bado vipo?Wakuu bado viwanja vinapatikana kwa anayetaka kuwekeza kwenye ardhi!
Bado vipo,piga namba hapo juuNauliza bado vipo?
Mm sina,ila wenye navyo watakuja PMNahitaji Kange kilichopimwa.
Ni pm.
Budget: 5M.
Futi au mita?Kuna kiwanja kinauzwa Mkurumzi,takribani 3km nyuma ya Kange bus station,kuna kiwanja kinauzwa ni mita 25X25,bei ni 5milioni,kina ofa ya kijiji.Maji na umeme upo jirani na kiwanja,panafikika kwa gari hadi kiwanjani.
Pia kuna viwanja viwili kwa pamoja Pongwe,Sanawari kila kimoja kina ukubwa wa futi 50X90,bei ni 5milioni,maji na umeme upo ndani ya kiwanja.Panafikika kwa gari hadi kiwanjani.Umbali wa dk 20 kutembea kwa mguu toka Pongwe bus station.
Anayehitaji apige simu 0752489529
Mkuu vp viwanja bado vipo?Habari za leo?
Kuna viwanja viwili vyenye ukubwa wa futi 50X80,umbali ni kama dakika 25 kutembea kwa mguu toka kituo cha daladala Pongwe,dakika 8 kwa bodaboda(malipo ni elfu moja)
Mnunuzi ataandikisha mkataba wa ununuzi mbele ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa na mashahidi wa munuzi na muuzaji,na anatakiwa kulipa 10% ya manunuzi kwa serikali ya kijiji.
Maji na umeme vipo karibu na viwanja vilipo.
BEI ni milioni 2 na laki tano kwa kila kiwanja.
Mawasiliano: 0787140432 au ni PM.
Kama ilivyoandikwa hapo juu!Futi au mita?
KM 22 toka Mapango ya Amboni.Mbona hujasema umbali mpaka mapango ya Amboni?.
Noted 15.4 x 24.4 mtrsKama ilivyoandikwa hapo juu!
Emilias, viwanja vya Kange nyuma ya stend ni vya Mombasa packers. Huyu Mwenyekiti wa kilichokuwa kijiji cha Kichangani alifanya makosa kuvigawa kwa wananchi wakati right of occupancy ya Mombasa Packers haijawahi kuwa revoked. Unasemaje juu ya hilo. Kuna magorofa yamejengwa, kuna siku yatabomolewa. Ukimwambia Rajabu aende kwa Lukuvi aombe kutengua umilikiwa Mombasa Packers hataki! Fanya uchunguzi kama unaweza.Kuna kiwanja kinauzwa Mkurumzi,takribani 3km nyuma ya Kange bus station,kuna kiwanja kinauzwa ni mita 25X25,bei ni 5milioni,kina ofa ya kijiji.Maji na umeme upo jirani na kiwanja,panafikika kwa gari hadi kiwanjani.
Pia kuna viwanja viwili kwa pamoja Pongwe,Sanawari kila kimoja kina ukubwa wa futi 50X90,bei ni 5milioni,maji na umeme upo ndani ya kiwanja.Panafikika kwa gari hadi kiwanjani.Umbali wa dk 20 kutembea kwa mguu toka Pongwe bus station.
Anayehitaji apige simu 0752489529
Ipo lakini ndiyo hayo ya mwendokasi!Hivi ile PONGWE CITY iliishia wapi? Siisikii tena wala kuona watu wakiposti picha za.jiji hilo mitandaoni