Plot4Sale Viwanja vinauzwa Pongwe, Tanga

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Pongwe, Tanga

Emilias, viwanja vya Kange nyuma ya stend ni vya Mombasa packers. Huyu Mwenyekiti wa kilichokuwa kijiji cha Kichangani alifanya makosa kuvigawa kwa wananchi wakati right of occupancy ya Mombasa Packers haijawahi kuwa revoked. Unasemaje juu ya hilo. Kuna magorofa yamejengwa, kuna siku yatabomolewa. Ukimwambia Rajabu aende kwa Lukuvi aombe kutengua umilikiwa Mombasa Packers hataki! Fanya uchunguzi kama unaweza.
Eneo linaitwa Mkurumuzi na sio Kange,ila asante kwa taarifa tumekusikia.
 
Back
Top Bottom