Viwanja vinauzwa Vikawe - Karibu na Baobab Sekondari

Fastercapital

Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
82
Reaction score
242
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa . Vipo Vikawe, 4 km kutoka baobab secondary njia ya kwenda kibaha.

Viwanja vizuri na vimepimwa! kuanzia sqm 400 hadi sqm 700
Malipo kwa cash na awamu mpaka miezi 6!
bei tzs 30,000 kwa sqm

Huduma zote za kijamii ikiwemo maji, umeme vipo

Wasiliana nasi 0796171467
 
Bei je? Inaanzia ngap?
 
Weka Bei. Vinginevyo ni tapeli kama tapeli wengine
 
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa . Vipo Vikawe, 4 km kutoka baobab secondary njia ya kwenda kibaha.

Viwanja vizuri na vimepimwa! kuanzia sqm 400 hadi sqm 700
Malipo kwa cash na awamu mpaka miezi 6!

Huduma zote za kijamii ikiwemo maji, umeme vipo

Wasiliana nasi 0796171467
Kwa hii bei wengi tutalipa cash kwa haraka
 
Back
Top Bottom