Mr Mjs Member Joined Mar 22, 2024 Posts 29 Reaction score 20 Apr 7, 2024 #1 Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY. KUMBUKA: Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50 Kuna huduma za kijamii Vuwanja vina hati halali toka serikali ya mtaa. Utapata hati ya makazi Bure. Bei ni 1300000 Tu. WASILIANA NASI SASA KWA 0686338261
Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY. KUMBUKA: Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50 Kuna huduma za kijamii Vuwanja vina hati halali toka serikali ya mtaa. Utapata hati ya makazi Bure. Bei ni 1300000 Tu. WASILIANA NASI SASA KWA 0686338261
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Apr 7, 2024 #2 Huu ni ujinga, watu wa Mbagala na Mkuranga elimu yenu mmeipata kwenye shule zenu peke yenu.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Apr 7, 2024 #3 Nani alikufundisha kuwa viwanja vinapimwa kwa kipimo cha futi. Tumia kipimo cha mita au mita za mraba.
Nani alikufundisha kuwa viwanja vinapimwa kwa kipimo cha futi. Tumia kipimo cha mita au mita za mraba.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Apr 7, 2024 #4 Ndio nackia leo kuna HATI ya serikali ya mtaa.
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Apr 7, 2024 #5 Futi 40 x 50 ni sawa na mita 12 x 15 = 180 sqm for TZS 1,300,000/= Vikindu, Mkuranga! Hiyo ni rate ya TZS 7,222.22 per sqm Vikindu, Mkuranga! Naona matapeli mumeamua kuivamia ardhi kweli kweli!
Futi 40 x 50 ni sawa na mita 12 x 15 = 180 sqm for TZS 1,300,000/= Vikindu, Mkuranga! Hiyo ni rate ya TZS 7,222.22 per sqm Vikindu, Mkuranga! Naona matapeli mumeamua kuivamia ardhi kweli kweli!
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Apr 18, 2024 #6 Futi? Huu ujinga mmepanga kuwadanganya wasioenda shule ili figure ionekane kubwa. Madalali wa aina hii wapo wengi sana mitaa ya huko. Huwez kukut maeneo ya Goba. Bweni au madale anata gaza kiwanja kwa futi
Futi? Huu ujinga mmepanga kuwadanganya wasioenda shule ili figure ionekane kubwa. Madalali wa aina hii wapo wengi sana mitaa ya huko. Huwez kukut maeneo ya Goba. Bweni au madale anata gaza kiwanja kwa futi
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Apr 18, 2024 #7 Mtoa uzi nikupe akili...nenda na matangazo yako kwa wale wanaohamishwa bonde la Msimbazi... Utakuja kunishukuru.
Mtoa uzi nikupe akili...nenda na matangazo yako kwa wale wanaohamishwa bonde la Msimbazi... Utakuja kunishukuru.