Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Vikindu

Mr Mjs

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
29
Reaction score
20
2024040711175059.jpg




Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY.

KUMBUKA:
  1. Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50
  2. Kuna huduma za kijamii
  3. Vuwanja vina hati halali toka serikali ya mtaa.
  4. Utapata hati ya makazi Bure.
Bei ni 1300000 Tu.

WASILIANA NASI SASA KWA 0686338261
 
Huu ni ujinga, watu wa Mbagala na Mkuranga elimu yenu mmeipata kwenye shule zenu peke yenu.
 
Futi 40 x 50 ni sawa na mita 12 x 15 = 180 sqm for TZS 1,300,000/= Vikindu, Mkuranga!

Hiyo ni rate ya TZS 7,222.22 per sqm Vikindu, Mkuranga!

Naona matapeli mumeamua kuivamia ardhi kweli kweli!
 
Futi? Huu ujinga mmepanga kuwadanganya wasioenda shule ili figure ionekane kubwa. Madalali wa aina hii wapo wengi sana mitaa ya huko. Huwez kukut maeneo ya Goba. Bweni au madale anata gaza kiwanja kwa futi
 
Mtoa uzi nikupe akili...nenda na matangazo yako kwa wale wanaohamishwa bonde la Msimbazi...
Utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom