Plot4Sale Viwanja vinauzwa

Plot4Sale Viwanja vinauzwa

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
46
Kuna viwanja vinauzwa Chanika zingiziwa 20x20 vipo eneo zuri mkabala na zahanati ya serikali kiasi kwamba vinafaa hata kujenga kitega uchumi kwa wanaoelewa fursa zipatikanazo maene jirani na hospital. Nicheck kwa 0625471226
 
Daaah mbona unauza bei kubwa sana mkuu au wewe ni dalali?
 
Bei siyo kubwa ila umehofia kabla ya kujua bei. Mimi sio dalali ila mwenye navyo ni jamaa yangu anaishi mbali na eneo kwahiyo niliepo karibu kaomba nimuuzie na namba ya simu yake hiyo hapo
 
Back
Top Bottom