Plot4Sale viwanja vinauzwa

Plot4Sale viwanja vinauzwa

SUNGWI

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
21
Reaction score
1
Viwanja vinauzwa viko lindi manispaa maeneo ya mnazi mmoja umeme na maji vinapatikana bei ni million 3 kwa vyote viwili Kama uko tayari piga 0716506630
 
Viwanja vinauzwa viko lindi manispaa maeneo ya mnazi mmoja umeme na maji vinapatikana bei ni million 3 kwa vyote viwili Kama uko tayari piga 0716506630
Mbona husemi ukubwa wa eneo wewe unataja pesa tu mkuu?

Au viwanja vina SI unit!
 
Hivi huko sindio mitaa ya wale wanao ua raia kibiti kilasiku.....[emoji15] [emoji15]
 
Haraka ya nini....subiri uanze kuvilipia kodi ndipo uuze. Tulia km maji mtungini, hii ni serikali ya KAZI TU!. Mkuu mm sina pesa usije ukanifikiria vibaya, ningekuwa nayo ningenunua
 
Back
Top Bottom