Plot4Sale Viwanja vinauzwa

Plot4Sale Viwanja vinauzwa

Plot for sale, Masaki
Location: Toure Drive
Size: Sqm 3200
Price: $ 2.7Mln

Mawasiliano
0712787939
Pre
 
KIWANJA KINAUZWA, JANGWANI BEACH

Size: Sqm 1,968
Kiwanja kipo kwenye kona.
Kiwanja kimegusa lami ya kuelekea White Sands.
Kiko jirani na Ramada Hotel.
Clean title deed
Bei: USD 550,000

Mawasiliano
0712787939
Pre
 
ENEO LINAUZWA KIGAMBONI FERRY

Ukubwa: Sqm 1200
Eneo linafaa kwa Hostel wanafunzi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere utawabeba wote, pia linafaa kwa Guest House, Vyumba vya kupanga pamoja na Frame za Biashara.
Eneo liko karibu na Barabara kuu.
Eneo lina kibanda cha zamani cha vyumba vitano.
Bei: Milioni 80 maongezi yapo

Mawasiliano
0712787939
Pre
 
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI JKT
Ukubwa: Sqm 1500
Bei: Milioni 250
Maongezi yapo

Mawasiliano
0712787939
Hu
 
PLOT FOR SALE
Location: Masaki Toure Drive
Size: Sqm 4000
Clean Title deed
Asking Price: USD 2.5Mln

Mawasiliano
0712787939
Pre
 
Hivyo viwanja havifiki hata 20*20 hapo unapataje hati wakati wizara ishakataza kutoa hati kwa viwanja vidogo?
Hakuna sheria inayosema hivyo kwamba kiwanja kiwe kinaanzia ukubwa fulani ndio uweze kupata hati kwa kawaida mawaziri huwa wana hulka ya kukurupuka hawana uelewa wa mambo mengi wapo pale kisiasa tu ndio maana kila waziri anakuja na mambo yake yawe ya hovyo au ya maana.

Natoa mfano nyumba karibu zote kuanzia Ilala, magomeni,kinondoni na kariakoo zipo kwenye Plot ambazo hazi zidi SQM 300 kushuka chini kwahiyo waleo pima zile viwanja zamani walikuwa hawana akili?

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
KIWANJA KINAUZWA MADALE KWA KAWAWA

Ukubwa: Sqm 700
Kiwanja kimepimwa kipo mita 500 kutoka lami.
Bei: Milioni 38 maongezi

Mawasiliano
0712787939
Cr
 
KIWANJA KINAUZWA MADALE KWA KAWAWA

Ukubwa: Sqm 1700
Kimepimwa, Mita100 tu kutoka lami
Bei: Milioni 140 maongezi

Mawasiliano
0712787939
Cr
 
Heka 8 zinauzwa zipo Mbweni Malindi, eneo lina gusa lami, unaweza kufanya biashara yeyote.
Bei: USD $ 1.7Mln
Maongezi yapo

Mawasiliano
0712787939
Hu
 
Hakuna sheria inayosema hivyo kwamba kiwanja kiwe kinaanzia ukubwa fulani ndio uweze kupata hati kwa kawaida mawaziri huwa wana hulka ya kukurupuka hawana uelewa wa mambo mengi wapo pale kisiasa tu ndio maana kila waziri anakuja na mambo yake yawe ya hovyo au ya maana.

Natoa mfano nyumba karibu zote kuanzia Ilala, magomeni,kinondoni na kariakoo zipo kwenye Plot ambazo hazi zidi SQM 300 kushuka chini kwahiyo waleo pima zile viwanja zamani walikuwa hawana akili?

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Umemaliza yote kaka sina cha kuongeza
 
Hivyo viwanja havifiki hata 20*20 hapo unapataje hati wakati wizara ishakataza kutoa hati kwa viwanja vidogo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukanda wa kilwa road ..... Naona slums zitazid kuongezeka miaka na miaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukanda wa kilwa road ..... Naona slums zitazid kuongezeka miaka na miaka
Wauzaji viwanja wengi ni wapumbavu na hiyo michezo iko pwani sana
 
VIWANJA VINAUZWA GOBA CENTER

Viko Km 1.5 toka lami
Vipo vi3 kila kiwanja
Size: Sq1000
Kila kiwanja kinauzwa Milioni 65Mln

Mawasiliano
0712787939
Cr
 
SHULE YA DAYCARE INAUZWA

Location: Kibada Chekechea (KIGAMBONI)
Size: Heka 1
Bei: 70Mln

Mawasiliano
0712787939
Pr
IMG-20230411-WA0003.jpg
 
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA🔥🔥🔥

Location: Mjimpya-Mabwepande.*
Unaingilia Bunju Shule *Kilometa 4 tu Hadi Site.
Ukubwa Sqm 603.
Umeme na maji vipo.
*Bei: Milioni 12 Fixed

Mawasiliano
0712787939
Ch
 
KIWANJA KINAUZWA
MJI MPYA MABWEPANDE-DSM

Ukubwa: Mita 50 kwa 60 Umeme na maji vipo
Bado hapajapimwa
Bei: Milioni 15 Mazungumzo kidogo

Mawasiliano
0712787939
Ch
 
NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI BEACH (CHINI)

Vyumba 4 (master 2)
Bei: Dollar $ 1000 kwa mwezi

Mawasiliano
0712787939
Hu
 
Attachments

  • IMG-20230411-WA0035.jpg
    IMG-20230411-WA0035.jpg
    176.5 KB · Views: 6
OFFER OFFER OFFER OFFER

PAGALE LINAUZWA KAMA LILIVYO

Ukubwa wa eneo 50 kwa 40
Kiwanja kina hati Zote

LOCATION KISEMVULE Umbali 1km kutoka barabara kubwa ya Kisemvule

BEI TSH 15 MILLION
MAONGEZI ENEO HUSIKA

WOTE MNAKARIBISHWA
 
Attachments

  • IMG-20230411-WA0048.jpg
    IMG-20230411-WA0048.jpg
    98.6 KB · Views: 5
  • IMG-20230411-WA0047.jpg
    IMG-20230411-WA0047.jpg
    107.3 KB · Views: 6
SHAMBA LINAUZWA EKARI 1500

▪️Lilikuwa linatumika Kwa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa(linafaa pia kuweka ranch ya mifugo)
▪️LINA NYUMBA ZA MAKAZI yenye vyumba 4 vya kulala
▪️Ukinunua Unapata trekta na miundombinu mingine

▪️UKINUNUA UNAPATA NG'OMBE 110 wa maziwa wenye uwezo wa kutoa Lita za maziwa 250 per day
▪️Linafaa Kwa kufuga, kulima parachichi, hotel za kitalii , kupanda miti , kulima
▪️Hati na documents zingine zote za umiriki zipo.
▪️Barabara ya uhakika mpaka shambani IPO.

Lipo MKOA WA IRINGA na kilomita 40 kutoka IRINGA town

Bei: BILIONI 1.5

Mawasiliano
0712787939
Dam
 
Back
Top Bottom