silver star
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 447
- 119
- Thread starter
-
- #21
Hakuna sheria inayosema hivyo kwamba kiwanja kiwe kinaanzia ukubwa fulani ndio uweze kupata hati kwa kawaida mawaziri huwa wana hulka ya kukurupuka hawana uelewa wa mambo mengi wapo pale kisiasa tu ndio maana kila waziri anakuja na mambo yake yawe ya hovyo au ya maana.Hivyo viwanja havifiki hata 20*20 hapo unapataje hati wakati wizara ishakataza kutoa hati kwa viwanja vidogo?
Umemaliza yote kaka sina cha kuongezaHakuna sheria inayosema hivyo kwamba kiwanja kiwe kinaanzia ukubwa fulani ndio uweze kupata hati kwa kawaida mawaziri huwa wana hulka ya kukurupuka hawana uelewa wa mambo mengi wapo pale kisiasa tu ndio maana kila waziri anakuja na mambo yake yawe ya hovyo au ya maana.
Natoa mfano nyumba karibu zote kuanzia Ilala, magomeni,kinondoni na kariakoo zipo kwenye Plot ambazo hazi zidi SQM 300 kushuka chini kwahiyo waleo pima zile viwanja zamani walikuwa hawana akili?
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukanda wa kilwa road ..... Naona slums zitazid kuongezeka miaka na miakaHivyo viwanja havifiki hata 20*20 hapo unapataje hati wakati wizara ishakataza kutoa hati kwa viwanja vidogo?
Wauzaji viwanja wengi ni wapumbavu na hiyo michezo iko pwani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukanda wa kilwa road ..... Naona slums zitazid kuongezeka miaka na miaka