Plot4Sale VIWANJA VINNE (4) VINAUZWA MWANZA JIJI (NYASAKA "B") ILEMELA

Plot4Sale VIWANJA VINNE (4) VINAUZWA MWANZA JIJI (NYASAKA "B") ILEMELA

Wakulochi

Member
Joined
Jun 2, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati.

  1. Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33.
  2. Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/= (Maongezi yapo)
  3. Miundo mbinu yote muhimu kama barabara, maji na umeme vipo.
  4. Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0763208610 au 0684180767.
 
Mimi nipo nyasaka centre hapa mwisho wa daladala nipo uelekeo wa nyasaka B mkuu.
 
Back
Top Bottom