W Wakulochi Member Joined Jun 2, 2019 Posts 9 Reaction score 10 Jun 12, 2019 #1 Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati. Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33. Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/= (Maongezi yapo) Miundo mbinu yote muhimu kama barabara, maji na umeme vipo. Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0763208610 au 0684180767.
Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati. Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33. Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/= (Maongezi yapo) Miundo mbinu yote muhimu kama barabara, maji na umeme vipo. Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0763208610 au 0684180767.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,638 Jun 12, 2019 #2 vina hati?
Hagwila Member Joined Apr 18, 2019 Posts 82 Reaction score 99 Jun 12, 2019 #3 tang'ana said: vina hati? Click to expand... Ndiyo; vina hati.
W Wakulochi Member Joined Jun 2, 2019 Posts 9 Reaction score 10 Jun 12, 2019 Thread starter #4 tang'ana said: vina hati? Click to expand... Vina hati mkuu kama nilivyooeleza kwenye aya ya kwanza. Karibu sana.
tang'ana said: vina hati? Click to expand... Vina hati mkuu kama nilivyooeleza kwenye aya ya kwanza. Karibu sana.
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,546 Reaction score 4,486 Jun 12, 2019 #5 Mimi nipo nyasaka centre hapa mwisho wa daladala nipo uelekeo wa nyasaka B mkuu.