Plot4Sale Viwanja vipya Jijini Dodoma

Plot4Sale Viwanja vipya Jijini Dodoma

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
Habari Wakuu,kwa wale ambao wanafikiria kujenga au kuanzisha miradi mbalimbali kwenye Jiji la Dodoma wakati ni sasa.

Unaweza kujipatia Viwanja kwa Bei nzuri kabisa kwaajili ya Matumizi ima ya Biashara au Makazi au vyote kwa pamoja.

MAENEO YENYE VIWANJA KWASASA NA BEI ZAKE:-
1.KATA YA CHAHWA-Bei ni kuaniza 1.2 Milioni mpaka 6 Milions
2.KATA YA MKONZE-Bei ni kuanzia 2 Milions mpaka 10 Milions
3.NZUGUNI-Bei kuaniza 1.5 Milioni mpaka 10 Milions
4.KATA ZA MTUMBA NA KIKOMBO kuaniza 2 Milions mpaka 30 Milions

Kote Viwanja vimepimwa na full documents pia kuna Magofu na nyumba zinauzwa sehemu mbalimbali unaweza kupata kwa kuwasiliana na sisi.

Mawasiliano: 0625646266 au 0752464548

IMG_2093.jpg

Call/Sms/Whatsapp
IMG_1853.jpg

b6a2166a-0a2f-45f2-b219-b3e74cd15fce.jpg

4cbc0ec9-3f75-4fa5-8ae7-488b83ff65ca.jpg

6164c84d-2c43-4f6d-8f22-bf61fe000221.jpg

2c199e75-31a9-4243-aeec-95531e755f6e.jpg
 
no 2. sishauri mtu akawekeze. ni story ndefu ngoja niishie hapo
 
Mkuu ni yote au eneo flan la nzuguni?
Tusaidie na wengine maana weekend ijayo nina jambo langu kule.
nimezungumzia MKONZE iwe chidachi, michese, chisichili kote huko sishauri.

kuhusu nzuguni maeneo mengi ya kurithi unaweza kuuziwa na mtu mmoja kumbe familia haikuafikiana mwisho mkaishia kuburuzana mahakamani.
 
Ooh sawa mkuu, nilizingatia no. 2 ya kwenye picha nikasahau mbili ya mpangilio wa author.

Kuhusu nzuguni nitazingatia ulichosema.
 
nimezungumzia MKONZE iwe chidachi, michese, chisichili kote huko sishauri.

kuhusu nzuguni maeneo mengi ya kurithi unaweza kuuziwa na mtu mmoja kumbe familia haikuafikiana mwisho mkaishia kuburuzana mahakamani.
Kwanini hushauri Chidachi? Michese?

Mbona sehemu hizo kuna maeneo yalikuwa pori, yakapimwa na Jiji? Yakauzwa? Shida zipo kipengele gani? Msaada please.
 
Kwanini hushauri Chidachi? Michese?

Mbona sehemu hizo kuna maeneo yalikuwa pori, yakapimwa na Jiji? Yakauzwa? Shida zipo kipengele gani? Msaada please.
mkuu kanunue tu, huenda niliangukia pua.

pendelea kudadisi wenyeji kwanza
 
Square meter 605, nje ya mji ila ni viwanja tulivyouziwa na mkurugenzi wa jiji, vimepimwa na vyote viliisha na mradi ukafungwa. Bei ni 7m.
Munanso,ulaile Yani...hujaainisha Mapinduzi ,ipo upande nje ya mji ,ndio wapi dada. ...hebu funguka
 
nimezungumzia MKONZE iwe chidachi, michese, chisichili kote huko sishauri.

kuhusu nzuguni maeneo mengi ya kurithi unaweza kuuziwa na mtu mmoja kumbe familia haikuafikiana mwisho mkaishia kuburuzana mahakamani.

Limenikuta jambo viwanja viwili michese [emoji30] niliuziwa na mzawa lakini.
 
Back
Top Bottom