Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
- Thread starter
- #21
nimezungumzia MKONZE iwe chidachi, michese, chisichili kote huko sishauri.
kuhusu nzuguni maeneo mengi ya kurithi unaweza kuuziwa na mtu mmoja kumbe familia haikuafikiana mwisho mkaishia kuburuzana mahakamani.
Mkuu pole sana kwa dhana uliyonayo na pengine wewe ni Mwenyeji kwasasa Viwanja vyote tunavyoyangaza sisi vimepimwa na vina Hati zake hakuna maneno unayosema wewe kwenye comments zako,kama uliwahi kupigwa ni kwasababu ya kutaka vitu vya bei rahisi ila sio kununua Viwanja vilivyopimwa na kuwa na documents zote.
Mkonze,Nzuguni na maneno mengine ambayo umedai ni ya Urithi nikuhakikishie kabla ya kununua unatakiwa kujiridhisha ukikuta kuna shida haununui maana sisi tunanunua Ardhi iloyopimwa na tuna Wanasheria kabisa kwasababu hizo naomba niseme umepotosha watu wenye nia ya kununua maeneo hayo.
Kufata taratibu ni kuzuri sana na kufafanua uwe na amani na kitu ulichonunu chochote sio lazima ikawa Ardhi.