Tuma picha za hatimiliki tuone,Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
@prathlimited
Kuna nyumba tabata tumemfuata mwenye nyumba ni 40mil ..Tanzania madalali ni wapuuzi sana, hiyo hela inatosha kununua nyumba USA
Madali siyo watu wazuri kwa kweliViwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
@prathlimited
Hivi Tanzania imeshindakana kabisa kuwa na website ya kitaalam ambayo watu wataitumia kwa kuuza nyumba na viwanja au kutangaza nyumba za kupanga kwa ada ndogo? Nyingi naona ni social media halafu madalali wenye hawako professional hata kidogo na pia wana tamaa za mzee fisi. Unakuta wanapandisha bei mara dufu na pia unaambiwa eti ukitaka kwenda kuona sehemu/nyumba, unalipia. Ujinga gani huu! Kwa mjasiriamali yoyote anayeangalia mbali, akianzisha website na kutoza reasonable fee atapata soko kubwa.Kuna nyumba tabata tumemfuata mwenye nyumba ni 40mil ..
Madalali wapo kwenye 70m.
Tumewazunguka kwa mmiliki full minuno
Umesoma kwa umakini kabisa. Siku hizi madalali wanataja bei utadhani wanaigiza. Ukionyeshwa nyumba ya bilioni 1 Dar, unabaki kushangaa tu.Ni m 750 ???? 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Au nimesomaa Kwa wengee mkuu..
HahahahaUmesoma kwa umakini kabisa. Siku hizi madalali wanataja bei utadhani wanaigiza. Ukionyeshwa nyumba ya bilioni 1 Dar, unabaki kushangaa tu.
aiseeeee n nooomaa mkuuUmesoma kwa umakini kabisa. Siku hizi madalali wanataja bei utadhani wanaigiza. Ukionyeshwa nyumba ya bilioni 1 Dar, unabaki kushangaa tu.
Huyo tapeli radhiya haijui hiyo 750m vizuriMaporini huko mil 700+? Nunua mwenyewe
Hiyo pesa napata nyumba ya kisasa mbezi beachMaporini huko mil 700+? Nunua mwenyewe