Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
708
Reaction score
501
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
 
Duh kibaha tulinunuaga laki 2 maheka saiv wanauza bilioni viwanja!
 
Hivi shilling 750m ni shilling ngapi?
 
Nashauri rekebisha bei maana hapo mizani ya zamani tu kwa juu pameuzwa bei chini kabisa ya hiyo ni ni karibia hekari 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…