bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
Mimi nataka kiwanja kilicho karibu na ikulu ya Magogoni ila niwe karibu na mh rais.Viwanja viwili vilivyo shikana VINAUZWA
Kila kimoja kina UKUBWA wa sqm 750
Na kwa kimoja KINAUZWA kwa tsh 150 milion
Unaweza uka double au uka Chukua kimoja kimoja
Viwanja vipo meter 200 kutoka BARABARA ya LAMI . KARIBUNI sana
0712464777
0769070247
Mbweni round about pale opposite na jktMbweni ipi?
Kazi ni kipimo cha utu
michezo ndio nini mkuu ?zoKwa nini mnauza kiwanja cha michezo??
Mie nimetangaza kiwanja kinauzwa hakuna mahala nimeandika michezo hapoKwa nini mnauza kiwanja cha michezo??
Aka Open Space..Mie nimetangaza kiwanja kinauzwa hakuna mahala nimeandika michezo hapo