Plot4Sale Viwanja vizuri Goba Kantina, mita 30 tu kutoka barabara ya lami ya Makongo Road

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
VIWANJA VINAUZWA GOBA KANTINA (MAKONGO ROAD)
  • Viwanja vipo mita 30 tuu kutoka barabara ya Lami ya Makongo.
  • Viwanja vipo tambarare kabisa.
  • Dakika 2 tuu kutoka site mpaka Goba Centre.
  • Dakika 15 tu kutoka site mpaka Mlimani City.
  • Viwanja vimezungukwa na nyumba za kisasa kabisa.
  • Wale wasio penda kukaa mbali na barabara ya lami hivi vinawahusu.
  • Viwanja vingi SQM 1000.
TZS 150,000/= PER ONE SQM na mazungumzo yapo.
☎️ +255 699 255 530
KARIBU SANA

#viwanjaGoba

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…