Viwanja vizuri mbezi luis vinauzwa

Viwanja vizuri mbezi luis vinauzwa

deomsolo

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Habari ndugu zangu wa JF nimekuja tena hapa kwenye safu hii kuwakumbusha kwamba viwanja bado ninavyo na bei zetu bado ziko chini kulingana na mahitaji yako. Viwanja 20* 25 bei ml 4 kilomita toka morogoro rd vya ml.10' 15 ni mita 500 karibuni 0713686329
 
mimi nataka sq.m 30 niweze kujenga kakibanda kangu ka chumba kimoja...
kama zipo nistue aiseee
 
Back
Top Bottom