Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
VIWANJA VIPO UWANJA MPYA WA DODOMA - MSALATO UPANDE WA KITELELA, NA INAPOJENGWA BARABARA YA MZUNGUKO RING ROAD BEI KUANZIA 1,000,000 MPAKA MIL 2 UKUBWA NI KUANZIA SQM 500 HADI 1,600 MAWASILIANO 0621048817 VIWANJA VIMEPIMWA
 
Vina hati zinazosoma jina la mtu,au vimepimwa tu halafu hati ni juu yake aliyenunua kufuatilia?
 
Vinasoma jina LA MTU na unaponunua tu siku hiyo hiyo tunapeleka mkataba kubadilisha jina linasoma LA kwako na process ya hati kubwa inaanza na kufuatilia tutakusaidia mpaka upate hati yako kwa kuwa kwa sasa vina invoice tu ( Offa)
 
Pia kuna kiwanja cha 3.5 kipo Nzuguni kimepiwa na kuna makazi kabisa
 
Wadau karibuni wiwanja Nzuguni nakitelela vya bei rahisi na utajirizisha kwenye ofisi za ardhi za jiji LA Dodoma ujiridhishe kwanza kabla ya kununua
 
Labda kwa sasa wakati hatuna uhakika kama makao bado yataendelea kuwa Dom. Hata wale waliokopa viwanja kule Chato hatamalizia madeni yao.waliowahi kujenga hotel kule Chato,watapiga hela za mwisho tarehe 26.03.baada ya hapo tunaanza kuulizia fursa kulw visiwani
 
Usipate wasiwasi mkuu makao makuu hayahamishwi tena kwani hukusikiliza hotuba ya Mh Rais kuwa ataendeleza aliyoyaacha Mh aliemtangulia?
 
Pia kuna kiwanja cha sqm 333 kinauzwa Nzuguni kipo jirani na stand kuu ya mabasi Dodoma kama mita 200 tu kutoka stand bei mil 18
 
Usipate wasiwasi mkuu makao makuu hayahamishwi tena kwani hukusikiliza hotuba ya Mh Rais kuwa ataendeleza aliyoyaacha Mh aliemtangulia?
Trust me,fursa zitahamia Zenj at least ndani ya miaka hii 4 ijayo.
 
VIWANJA VIPO UWANJA MPYA WA DODOMA - MSALATO UPANDE WA KITELELA, NA INAPOJENGWA BARABARA YA MZUNGUKO RING ROAD BEI KUANZIA 1,000,000 MPAKA MIL 2 UKUBWA NI KUANZIA SQM 500 HADI 1,600 MAWASILIANO 0621048817 VIWANJA VIMEPIMWA
Umeme na maj vpo mkuu
 
Vina nyaraka za aina gani mkuu?
 
Labda kwa sasa wakati hatuna uhakika kama makao bado yataendelea kuwa Dom. Hata wale waliokopa viwanja kule Chato hatamalizia madeni yao.waliowahi kujenga hotel kule Chato,watapiga hela za mwisho tarehe 26.03.baada ya hapo tunaanza kuulizia fursa kulw visiwani
Inafikirisha..
 
Kwa Viwanja vilivyopo eneo LA Nzuguni B na C umeme na Maji vipo na vimepimwa kabisa
 
Umeme na Maji bado boss, ili vitawekwa soon Viwanja vimepakana na mradi was barabara ya mzunguko ring road
Ukitaka sehemu yenye umeme na Maji kwenye makazi ya watu uwe na budget ya kuanzia 4 ml mpaka 8ml
 
Back
Top Bottom