Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

Plot4Sale Viwanja vya bei Rahisi vinauzwa Dodoma

nauza kiwanja kigamboni mwasonga, sqm 354. kipo kwenye mradi, kina documents zote ikiwemo hati. umeme upo barazani. bei mil 7.
 
Bahati mbaya Dodoma na Chato maisha habari yenu.
Nunua kiwanja Arusha, Dar, Mbeya n.a. Kwanza. Huko kwingine kichefuchefu tuuu.
 
Kiwanja Nzuguni sqm 600 Tsh ml 6, sqm 321 Tshs ml 5 na Sqm 300 (15mt x20mt) Tsh ml 4. Vyote vipo kwenye makazi ya watu umeme na Maji vipo
 
Kiwanja kinauzwa Nzuguni sqm 360 bei ml 3,500,000|= kimepimwa na kuna umeme na Maji kipo kwenye makazi ya watu
 
Viwanja vipo mpaka vinavyotizamana na stend mpya ya mkoa ya Dodoma iliyopo Nzuguni
 
Kiwanja kinauzwa Nzuguni Dododoma sqm 296 bei 2,500,000 kimepimwa na kina hati
 
Back
Top Bottom