The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
- Thread starter
-
- #61
Hawa jamaa wanaibia watuSerikali kupitia wizara ya ardhi ilipiga marufuku madalali kuuza viwanja vya mita 12'x15
Foot 40x50=mita 12x15
Kwa mtu asiyejua vipimo akiambiwa ft 40x50 atajua kiwanja ni kikubwa kumbe ni kidogo hata nyumba ya maana haiingiiHawa jamaa wanaibia watu
Mkuu karibu Forodhani umiliki eneo lakoHivi nani aliwapa hawa matapeli utaratibu wa kuuza viwanja kwa futi?
Unaibiwa vipi mkuu??Hawa jamaa wanaibia watu
Mfano wa nyumba iliyojengwa kwa sqm 200Kwa mtu asiyejua vipimo akiambiwa ft 40x50 atajua kiwanja ni kikubwa kumbe ni kidogo hata nyumba ya maana haiingii
My concern ni upangaji mji, hapo mnatengeneza uswahili, nyumba zitakuwa karibu karibu sana.Mfano wa nyumba iliyojengwa kwa sqm 200
Ila kama unaona sqm 200 kwa ujenzi wako ni eneo dogo unanuna sqm 400 au sqm 800
View attachment 2636286
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba week mmoja uje kutembelea mradi kwanza utafurahi sanaaMy concern ni upangaji mji, hapo mnatengeneza uswahili, nyumba zitakuwa karibu karibu sana.
Kwanini msifuate muongozo wa serikali?
mlichoniuziii kueka majina ya Zanzibar kwenye hiyo mitaa.FORODHANI CITY
Unalipia asilimia 50% ya bei ya Kiwanja unaingia MKATABA WA AWALI unapewa miezi 4 unaendelea kulipia Taratibu 50% iliyobaki...
Ukiwa na Nguvu ya kulipia CASH unakaribishwa pia
Kiwanja Cha 1,300,000/= KULIPIA KWA AWAMU RUKSA
Kiwanja cha 2,600,000/= KULIPIA KWA AWAMU RUKSA
Kiwanja Cha 5,200,000/= KULIPA KWA AWAMU RUKSA
KARIBU SANAAA
0754553380View attachment 2615472View attachment 2615471View attachment 2615473
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu baadhi ya street majina ni ya maeneo ya Zanzibarmlichojiuziii kueka majina ya Zanzibar kwenye hiyo mitaa.
Karibu mkuuTaarifa nzuri na bei ni murua hasa kipengele cha kulipa kidogo kidogo kinatoa mwanya.Asanteni sana
Uko sahihi, Kwa mujibu wa sheria ya Mipango miji ya mwaka 2018, hatuna kiwanja cha Square meter 200. Hapo kinachozalishwa ni Planned Squatter,My concern ni upangaji mji, hapo mnatengeneza uswahili, nyumba zitakuwa karibu karibu sana.
Kwanini msifuate muongozo wa serikali?
Mkuu mbona tumefafanua hapoHalafu nani amewafundisha kutumia futi katika vipimo vya kiwanja. Yaani unapima kwa futi kweli?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app