The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
- Thread starter
-
- #101
mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm Viwanja
Mungu àtaweka wepesiSawa sawa tunavihitaji ila pesa hakuna
mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm 180viwa
Viwanja vyetu ni sqm 200, sqm 400, sqm 800 ,sqm 1600mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm 180
Kwanini ujipe mashaka wakati vipo visivyokuwa na mashaka?? Sqm unazotaka zipo Karibu mkuuukiona mradi una foot 40 kwa 50 ambazo ni sqm 180 yaan chini ua 400 kuna mashaka apo ivyo viwanja haviwezi kupimwa