Plot4Sale Viwanja vya makazi vinauzwa KIbaha

Plot4Sale Viwanja vya makazi vinauzwa KIbaha

loykeys

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
1,175
Reaction score
910
Habari wakuu,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 (zingatia hapa nimevipima mimi mwenyewe na havina hati)

vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia kuna miti ya mnazi, mwembe na mkorosho, na barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja ni milioni 7, ila maelewano yapo.

Pia vipo vya milioni 12, ambavyo vinatizamana na barabara. Kuhusu punguzo maelewano yapo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
viwanja bado vipo wakuu anayehitaji apige hizo namba kwa maelekezo kamili
 
viwanja bado vipo wakuu anayehitaji apige hizo namba kwa maelekezo kamili
 
Ndo shiida ya wabongo, wanatamaa sana ya kuwa matajiri kiurahisirahisi.Pesa ya mtu haitoki kiurahisi hivyo labda za mstaafu ambaye hajajipanga alipokuwa kazini au za madini maana ndo fedha zinazowachangaya watu.Viwanja siku hizi viko katika bei ya chini sana, igeni kampuni ya MAKAAZI REAL ESTATE, bei zao mtu unaweza kushawishika hata kukopa pesa ununue ardhi safi iliyopimwa
 
Kwa bei hiyo ya milioni 9 bado utaendelea kuwa navyo vingi tu mkuu[emoji19]
ndo maana umeambiwa maelewano yapo unataja fungu ulilo nalo mmiliki akiona inalipa biashara inafanyika... ndo maana kuna kipengele cha negotiation. Karibu
 
Kweli kabisa mkuu
ndo maana umeambiwa maelewano yapo unataja fungu ulilo nalo mmiliki akiona inalipa biashara inafanyika... ndo maana kuna kipengele cha negotiation. Karibu
 
Ndo shiida ya wabongo, wanatamaa sana ya kuwa matajiri kiurahisirahisi.Pesa ya mtu haitoki kiurahisi hivyo labda za mstaafu ambaye hajajipanga alipokuwa kazini au za madini maana ndo fedha zinazowachangaya watu.Viwanja siku hizi viko katika bei ya chini sana, igeni kampuni ya MAKAAZI REAL ESTATE, bei zao mtu unaweza kushawishika hata kukopa pesa ununue ardhi safi iliyopimwa
sawa mkuu embu tuwekee bei hiyo rahisi unayosema na sisi tuchangamkie fursa...
 
Pugu nimenunua cha ml.3, Chanika Mvuti nimenunua kwa ml.1 Tu.Sinadi biashara ya mtu na sina commintment na kampuni yoyote ila majamaa wako vizuri .
 
Bei imepoa, sasa ni milioni 7 kwa kila kiwanja cha M. 40x30

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961
 
weka google map location please. alafu punguza bei hali mbaya. acheni uchoyo sio chakula hizo na wenzenu tujenge jamani...
 
Back
Top Bottom