Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu bei inapungua na ni a fair and reasonable price, google map location nitawekaweka google map location please. alafu punguza bei hali mbaya. acheni uchoyo sio chakula hizo na wenzenu tujenge jamani...
Habari wakuu,
Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 (zingatia hapa nimevipima mimi mwenyewe na havina hati)
vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.
Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia kuna miti ya mnazi, mwembe na mkorosho, na barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.
Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.
Bei kwa kila kiwanja ni milioni 7, ila maelewano yapo.
Pia vipo vya milioni 12, ambavyo vinatizamana na barabara. Kuhusu punguzo maelewano yapo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961
Karibuni sana.
Nakuunga mkono mkuuweka google map location please. alafu punguza bei hali mbaya. acheni uchoyo sio chakula hizo na wenzenu tujenge jamani...