Plot4Sale Viwanja vya makazi vinauzwa KIbaha

Mkuu tatizo bei aseee 12M parefu
Kuna vya milioni 7 hapo mkuu, kwa ukubwa huo huo M.40x30, hivyo vya milioni 12 ni vya upande wa mbele karibu na barabara ndo maana bei ni tofauti.
 
weka google map location please. alafu punguza bei hali mbaya. acheni uchoyo sio chakula hizo na wenzenu tujenge jamani...
Usijali mkuu bei inapungua na ni a fair and reasonable price, google map location nitaweka

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961kwa ufafanuzi. Asante
 
 
Bado Unavyo?
vimebaki vichache mkuu,

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961 kwa ufafanuzi. Asante na karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…