Viwanja vya ndege za NATO vyalipuliwa na kuchakazwa vibaya

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
🚨Update: Russia has destroyed every Ukrainian airfield and air base capable of hosting NATO jet fighters. NATO said they will operate their ‘Ukrainian’ deployed fighter jets out of Poland and Romania. None will be stationed or flying off of a Ukrainian base!!
 
Attachments

  • IMG_20240628_092928.jpg
    110.3 KB · Views: 6
Nilivyoona viwanja vya NATO vimelipuliwa nikadhani Putin kashambulia nchi za NATO ili moto uwake vizuri, kumbe ni huko Ukraine. Hata Ukraine anashambulia viwanja vya ndege vya Urusi, so ni sawa tu.
 
Kama wakioperate nje ya Ukraine vita vinahamia kwao
 
Nilivyoona viwanja vya NATO vimelipuliwa nikadhani Putin kashambulia nchi za NATO ili moto uwake vizuri, kumbe ni huko Ukraine. Hata Ukraine anashambulia viwanja vya ndege vya Urusi, so ni sawa tu.
Mimi pia nilijua hivyo. Kumbe...
 
Naomba link ya habari
 
Mkuu rekebisha basi title unless dhamira yako siyo kuleta habari kwa mizani sawa.
 
huna vyanzo hivyo tunaweka katika dustbn
 
Fake news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…