kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Wakuuuu habari na poleni na majukum.
Ndugu yenu baada ya msoto wa muda mrefu ijumaa ntakuwa Dar kwa ajili ya mapumzio .
Naombeni tujuzane viwanja vyenye watoto classic na mziki mkubwa nafikili mmenielewa ili wikendi nitembelee hvo viwanja
Natanguliza shukrani