Kidimbwi 🔥Wakuuuu habari na poleni na majukum.
Ndugu yenu baada ya msoto wa muda mrefu ijumaa ntakuwa dar kwa ajili ya mapumzio .
Naombeni tujuzane viwanja vyenye watoto classic na mziki mkubwa nafikili mmenielewa ili wikendi nitembelee hvo viwanja
Natanguliza shukrani
Hahahaa umeuazunguka dar nzima ikifika saa tano uwe juliana, saa nane uwe kidimbwi. vingine utasimulia asbuhi.
Kidimbwi sijawai fika ila nasikia vinywaji bei imechanfamka elfu tano kwenda juuHapo kidimbwi bei ya vinywaji ipoje? Kawaida kama baa zingine au expensive?