kaka ktk visa kitu kikubwa ni ufadhili(sponsorship)kwa wenzetu marekani na EU countries ukiwa na passport ya huko wala huangaiki kuomba visa ya nchi unayokwenda..visa utagongewa pale unapofika kwenye airport ya nchi unayokwenda..kwa mfano muingereza mwenye passport ya UK akitaka kuja hapa dubai hana haja ya kuangaika kuuliza visa visa atakata pindi atakapofika hapa dubai airport..
Kwa sisi wenye hizi passport za kawaida ni lazima uombe visa kuna kupata na kukosa..njia nzuri ambayo ni rahisi na ya uhakika ni hiyo niliyokwambia,kwa kuwa hiyo visa itaombwa na wazawa wa huko ni 100% kuipata bila usumbufu...njia nyingine ni kama una rafiki/ndugu kwenye nchi unayoenda mwenye visa ya makazi ya kule (residential visa)huyu naye ana uwezo wa kuwa sponsor wako akakuombea visa kwa kule nayo hii kupata ni 100% njia nyingine ni ndege unayotumia kwenda kule mfano ukitumia shirika la ndege la emirates kwa kuwa ili ni la dubai wanaweza kuku sponsor visa ya dubai nayo hii kupata ni 100% japo kwa australia sina uhakika kama airline inaweza kuku sponsor...njia nyingine ni ile unayoiulizia wewe na ndio maana wengi wanalalamika kuwa wamenyimwa visa kwa kuwa huna sponsor njia hii ni wewe ku contact moja kwa moja na ubalozi iwe online au one on one..waweza kupata lakini sio 100% njia hii watakiwa uwe na sababu kama aliyonayo huyo...anaweza kamilisha mambo yote wanayotaka ata kuwaonyesha kuwa ana pesa za kutalii at the end wanaweza mpa au kumnyima kwa kuwa hana sponsor...namba ya ubalozi wa australia kenya ni+2542045034 watakupa maelezo ....kama kweli anakwenda kupumzika ataitaji hoteli na kwa wenzetu wanajua biashara na kuthamini sana mteja..hoteli ikijua atakaa kule kwa siku ata 5 lazima wachangamkie sana hiyo tender..watamsponsor visa