Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Kesho hawa wazee wa simba nawashauri wasile biriani,watumie viazi vitamu na maji wanaweza wakamudu dk90 lasivyo wanaweza rudisha chenji...
kwanza wana afya dhaifu
akili hawanaga
umri umewatupa mkono
wazinzi
wamekauka
wengi akili ni za kuibia
kesho wakifungwa goli chache ni 7
kwanza wana afya dhaifu
akili hawanaga
umri umewatupa mkono
wazinzi
wamekauka
wengi akili ni za kuibia
kesho wakifungwa goli chache ni 7