Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Mlisema hawezi leo umejuaje, tulieni mnyolewe, Babu yenu Biden anaongea Kama anamafua
 
Yote aya msababishi ni NATO akiongozwa na usa. Wao kama nato wangeweza ku withdraw intention au maombi ya kumjoin Ukraine
Lakini UKRAINE, si taifa huru?mbona poland, na wengine walijiunga NATO?, tatizo kubwa la Urusi ni kutaka kuweka pandikizi lake hapo, kwani huyu rais wa sasa, hakubali hilo, kwani mwaka 2014, alipoichukua rasi ya krimea, alikuwa na sababu gani?na hii vita ni mpango wa muda mrefu sana, na ndio maana ni muda mrefu tu alikuwa akiwapa msaada hao waasi wa majimbo 2, yaliyojitenga, na juzi ameyatambua rasmi!!
Nchi huru utaichagulia rafiki?!!
 
Umefatilia mkataba ulipeleka nato kuanzishwa. Maana wao ndio wamekengeuka
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Wewe ndio unajua au una akili kuliko Putin?
 
[emoji632][emoji298]️No one in Europe and the US wants to go to war with Russia - French Defense Minister
 
Lets speak Amani nyie mnaona heri watu kufa kuliko kuongelea amani kwanini msiache ujuzi wenu na flash back zote mkaanza kufikiria athari za umwagaji damu haijalishi chochote haki iko wapi ila now sio wakati wa vita. MI KWA UPANDE WANGU BUSARA SI KWA KUMWAGA DAMU HUO NI UBABE WA KIJINGA SANA TUONGELEE AMANI VITA IKOME mi najua Urusi kuna familia nyingi na kuna watu pia kama ilivo kwa ukraine kma nchi nyingi Duniani zikipinga vita na putini akigoma kuacha unafikir itakuaje kwa upande wa urusi TUACHE MAJIBIZANO YA KISIASA HAYATA SOLVE HILI LINALO TOKEA SASA WEKENI HOJA WEKENI HOJA ZA KUREJESHA AMANI KWA NCHI HIZI MBILI NA WATU WAKE MAMBO YANA SIMAMA NA DAMU INAMWAGWA
 
RUSSIAN ENVOY TO JAPAN: THERE WILL BE SERIOUS RUSSIAN RESPONSE TO JAPANESE SANCTIONS AGAINST RUSSIA
 
Everyone is afraid of giving us guarantees to join NATO, and the truth is, no one wants us in the alliance

Ukrainian President
 
Wewe ma Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichabganyikiea USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?

Kama mnapenda haki msojitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
Mimi siweki ushabiki katika mambo haya. I’m very objective. Cuban missile crisis ni historia ya mbali. Urusi walibanwa wakaondoa makombora yao huko Cuba.

Ukraine haiko NATO wala hakuna askari na makombora ya US huko. Ni sasa hivi ndio msaada wa silaha umepelekwa kuisaidia Ukraine kujilinda na uvamizi wa Urusi.

Ukraine haijawahi kuwa tishio la kijeshi kwa Urusi. Iliangamiza silaha zake za nuklia. Putin tangu awali hakubali kuwa Ukraine ni nchi huru. Anadai ni sehemu ya Urusi na lengo lake ni kuiunganisha na Urusi.

Anachoogopa Putin HASA ni kuwa na nchi (Ukraine) yenye demokrasia na maendeleo modeli ya EU kwenye mipaka yake. Itahatarisha utawala wake wa kidikteta.
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Ni suala la muda tu. Wanamlia timing kama walivyomfanya Hitler. Walimuacha ajione mbabe, walipoanza kumshughulikia hata Makamu wake Hess alimkimbia.
 
Mlisema hawezi leo umejuaje, tulieni mnyolewe, Babu yenu Biden anaongea Kama anamafua
With all due respect, hii sio mechi ya mpira au shughuli ya vinyozi. Haya sio mambo ya ushabiki. Hao (Russia na Ukraine) ni ndugu wa damu. Wakiangamizana faida halisi kiuchumi ni kwa USA, China na nchi za EU.

Putin is short sighted on that. Haoni mbali. Anafikiri manufaa ni kurejesha himaya ya USSR ya karne ya 19 au Russian Empire ya karne ya 17. Medieval thinking isiyoendana na dunia ya leo.

Ni kama sisi tuivamie Zanzibar tubomoe SMZ na kuigeuza mkoa halafu tuwatambie Kenya kwa utemi wetu. Watatucheka na kujiongezea fursa za utalii kwao.
 
IMG_2135.jpg

Hivo ndio unapenda kuona wewe unaye ona bora vita mailete refference za nyuma sisi tuna enda mbele tuzuie hivi vitu visitokee duniani havina ulazima tuzungumze Amani ya nini yote hii na ikiwa mtu ajachokozwa au kufanywa chochote watu hawaja lipiza wapewe uhuru haya mambo ya kitumwa mtu akitaka uhuru apewe sio kulazimisha kwa kumwaga damu kisa wewe una mabavu tuiombee Ukraine
 
Lakini UKRAINE, si taifa huru?mbona poland, na wengine walijiunga NATO?, tatizo kubwa la Urusi ni kutaka kuweka pandikizi lake hapo, kwani huyu rais wa sasa, hakubali hilo, kwani mwaka 2014, alipoichukua rasi ya krimea, alikuwa na sababu gani?na hii vita ni mpango wa muda mrefu sana, na ndio maana ni muda mrefu tu alikuwa akiwapa msaada hao waasi wa majimbo 2, yaliyojitenga, na juzi ameyatambua rasmi!!
Nchi huru utaichagulia rafiki?!!
Urusi before alichokua anachotaka ilikua ni Ukraine ayaachie majimbo la Donetsk na Luhansk yajitegemee. Pengine anayataka yeye, Ukraine angeyaachia tu ili aepuke madhara zaidi. Majimbo yenyewe hayataki kua chini ya Ukraine anymore.

MKe ashasema hakutaki muachie tu aende kama huna nguvu ya kum-retain, otherwise atasumbua tu later. Ila Sasa Urusi ashaingia ndani ya Kiev it is too late now.

Rais wa Ukraine aachie tu ngazi now kuepusha madhara zaidi.
 
Kwani hayo majimbo yamejitenga leo?je hata kama angeyaachia yajitawale akajiunga na NATO, putin angekubali?!!tatizo kubwa ni rais huyu kutokubali kuwa kibaraka wa moscow!!ni ngumu kwa sasa urusi kuichukua tena ukraine, ila anachotaka kufanya ni kuweka mtu wake!!ambaye suala la kujiunga NATO halitakuwepo!!na ndio maana urusi moja ya sharti alilowapa NATO, ni kutokubali ukraine ijiunge kwenye umoja huo!!
 
Tatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..
Afu nmegundua watz wengi hawajui vitu vingi wao kazi yao ni kusoma vichwa vya habar ya ulaya na us na kumlaum putin bila kujua hata chanzo ni nn...
Safi sana Putin.. wao si wahuni tuone sasa
Sio wote wanaomlaumu hawajui sbb
Watu wanamlaum sbb wanaopoteza maisha hata hawahusiki,wanawake na watt!
Vita sio mzuri jmn,tuache ushabiki!
 
Back
Top Bottom