chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mlisema hawezi leo umejuaje, tulieni mnyolewe, Babu yenu Biden anaongea Kama anamafuaPutin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Lakini UKRAINE, si taifa huru?mbona poland, na wengine walijiunga NATO?, tatizo kubwa la Urusi ni kutaka kuweka pandikizi lake hapo, kwani huyu rais wa sasa, hakubali hilo, kwani mwaka 2014, alipoichukua rasi ya krimea, alikuwa na sababu gani?na hii vita ni mpango wa muda mrefu sana, na ndio maana ni muda mrefu tu alikuwa akiwapa msaada hao waasi wa majimbo 2, yaliyojitenga, na juzi ameyatambua rasmi!!Yote aya msababishi ni NATO akiongozwa na usa. Wao kama nato wangeweza ku withdraw intention au maombi ya kumjoin Ukraine
Wwe waache wajipendekezi na rasilimali zetu muda ukifika na sisi tunawapelekea Moto kwa kwenda mbele!!Nasikia na Malawi wanajaza vikosi pembeni ya Nyasa
Lakini UKRAINE, si taifa huru?mbona poland, na wengine walijiunga NATO?, tatizo kubwa la Urusi ni kutaka kuweka pandikizi lake hapo, kwani huyu rais wa sasa, hakubali hilo, kwani mwaka 2014, alipoichukua rasi ya krimea, alikuwa na sababu gani?na hii vita ni mpango wa muda mrefu sana, na ndio maana ni muda mrefu tu alikuwa akiwapa msaada hao waasi wa majimbo 2, yaliyojitenga, na juzi ameyatambua rasmi!!
Nchi huru utaichagulia rafiki?!!
Wewe ndio unajua au una akili kuliko Putin?Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Mimi siweki ushabiki katika mambo haya. I’m very objective. Cuban missile crisis ni historia ya mbali. Urusi walibanwa wakaondoa makombora yao huko Cuba.Wewe ma Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichabganyikiea USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?
Kama mnapenda haki msojitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
Ni suala la muda tu. Wanamlia timing kama walivyomfanya Hitler. Walimuacha ajione mbabe, walipoanza kumshughulikia hata Makamu wake Hess alimkimbia.Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
With all due respect, hii sio mechi ya mpira au shughuli ya vinyozi. Haya sio mambo ya ushabiki. Hao (Russia na Ukraine) ni ndugu wa damu. Wakiangamizana faida halisi kiuchumi ni kwa USA, China na nchi za EU.Mlisema hawezi leo umejuaje, tulieni mnyolewe, Babu yenu Biden anaongea Kama anamafua
Urusi before alichokua anachotaka ilikua ni Ukraine ayaachie majimbo la Donetsk na Luhansk yajitegemee. Pengine anayataka yeye, Ukraine angeyaachia tu ili aepuke madhara zaidi. Majimbo yenyewe hayataki kua chini ya Ukraine anymore.Lakini UKRAINE, si taifa huru?mbona poland, na wengine walijiunga NATO?, tatizo kubwa la Urusi ni kutaka kuweka pandikizi lake hapo, kwani huyu rais wa sasa, hakubali hilo, kwani mwaka 2014, alipoichukua rasi ya krimea, alikuwa na sababu gani?na hii vita ni mpango wa muda mrefu sana, na ndio maana ni muda mrefu tu alikuwa akiwapa msaada hao waasi wa majimbo 2, yaliyojitenga, na juzi ameyatambua rasmi!!
Nchi huru utaichagulia rafiki?!!
Wanawake jamani mnaona kabisa kunavita ya urusi vs Ukraine lakini bado mnaomba hela ya kusuka mtatatuuwa tupumzisheni
Kwani hayo majimbo yamejitenga leo?je hata kama angeyaachia yajitawale akajiunga na NATO, putin angekubali?!!tatizo kubwa ni rais huyu kutokubali kuwa kibaraka wa moscow!!ni ngumu kwa sasa urusi kuichukua tena ukraine, ila anachotaka kufanya ni kuweka mtu wake!!ambaye suala la kujiunga NATO halitakuwepo!!na ndio maana urusi moja ya sharti alilowapa NATO, ni kutokubali ukraine ijiunge kwenye umoja huo!!Urusi before alichokua anachotaka ilikua ni Ukraine ayaachie majimbo la Donetsk na Luhansk yajitegemee. Pengine anayataka yeye, Ukraine angeyaachia tu ili aepuke madhara zaidi. Majimbo yenyewe hayataki kua chini ya Ukraine anymore.
MKe ashasema hakutaki muachie tu aende kama huna nguvu ya kum-retain, otherwise atasumbua tu later. Ila Sasa Urusi ashaingia ndani ya Kiev it is too late now.
Rais wa Ukraine aachie tu ngazi now kuepusha madhara zaidi.
Sio wote wanaomlaumu hawajui sbbTatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..
Afu nmegundua watz wengi hawajui vitu vingi wao kazi yao ni kusoma vichwa vya habar ya ulaya na us na kumlaum putin bila kujua hata chanzo ni nn...
Safi sana Putin.. wao si wahuni tuone sasa